1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi Myanmar na athari zake kidemokrasia

Zainab Aziz5 Februari 2021

Kwenye Maoni wiki hii, suala linalojadiliwa ni mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika nchini Myanmar. Mapinduzi hayo yalitokana na hatua ya wanajeshi kutokubali matokeo ya uchaguzi. Je demokrasia imefikia mwisho nchini Myanmar? Wachambuzi wanatathmini hali ya Myanmar vipi? Mwenyekiti wa mjadala leo ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/3ov7n