1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapendekezo ya mkutano wa albino

Hawa Bihoga20 Juni 2016

Mapendekezo matatu yametolewa kwa nchi za Afrika kuyafanyia kazi, ili kudhibiti ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino. Mapendekezo hayo yametolewa katika mkutano wa kilele dhidi ya ukatili na mauaji kwa watu wenye ualbino. Miongoni mwao ni udhibiti wa mipaka ya nchi kwa watu wanaopita na watu wenye ualbino pamoja na kusakafia makaburi ili yasiweze kufukulliwa na wahalifu.

https://p.dw.com/p/1J9v1