1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya Urembo ya Mbilikimo Burundi

2 Aprili 2019

Mchakato wa kumtafuta msichana mrembo atakayeiwakilisha jamii ya watwa katika mashindano ya warembo kitaifa limefanyika Burundi. Ushiriki wa mrembo kutoka jamii hiyo ya mbilikimo ni hatua iliyowashangaza wengi. Wakati jamii nyingine za watutsi na wahutu zikishuhudia maendeleo makubwa katika tamaduni mbilikimo wanatambulika kitaifa na hata kimataifa kama watu waliobaki nyuma kwa sehemu kubwa.

https://p.dw.com/p/3G6MB
Mbilikimo beauty contest in Bujumbura.
Picha: DW/A. Issa
Mbilikimo beauty contest in Bujumbura.
Picha: DW/A. Issa