1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya kimataifa ya kutangaza utalii ITB yaanza Berlin

7 Machi 2023

Maonyesho makubwa kabisa ya kimataifa ya kutangaza utalii ITB yameanza rasmi mjini Berlin, Ujerumani kwa siku tatu. Katika maonyesho hayo, nchi mbalimbali duniani hutangaza vivutio vyao vya utalii na pia kukutana na wadau wanaojishughulisha na sekta hiyo. Sikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Simai Mohammed Saidi.

https://p.dw.com/p/4OLHN