1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya wachambuzi kuhusu kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe

Sudi Mnette4 Machi 2022

Sudi Mnette amezungumza na Rugemeleza Nshala, rais wa zamani wa chama cha wanasheria cha Tanganyika TLS kupata maoni yake kufuatia uamuzi wa mahakama nchini Tanzania wa kumwachia huru mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya ugaidi.

https://p.dw.com/p/47zuV