1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya mchambuzi kuhusu hukumu dhidi ya Rusesabagina

Amina Mjahid20 Septemba 2021

Paul Rusesabagina amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 25 kutokana na makosa yanayohusishwa na ugaidi. Amina Abubakar amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa anayefuatilia iasa za Rwanda Mercel Hamdun na kwanza ametaka kujua je hukumu hii ilitarajiwa?

https://p.dw.com/p/40ZnH