1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni :Wapi inakoelekea Sudan baada ya mapinduzi ya kijeshi?

29 Oktoba 2021

Kwa mara nyingine Sudan imeingia kwenye vichwa vya habari duniani.Lakini kipi hasa kilichochechea mapinduzi haya? Na lipi hasa lengo la jenerali Burhani katika hatua yake hii? lakini pia wapi inakoelekea Sudan?Jiunge na Saumu Mwasimba akijadili na wataalamu wa siasa ya Sudan katika maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/42LxT