1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Maoni: Vita vya Ukraine na gharana yake kiuchumi duniani

20 Januari 2023

Ungana na mwenzetu Mohammed Khelef ambaye hii leo anaongoza mjadala kwenye Maoni mbele ya Meza ya duara. Suala kuu kwenye mjadala huu ni namna ambavyo vita vya Ukraine vilivyoathiri uchumi wa dunia na mengineyo mengi. Usikose kusikia mengi kutoka kwa wabobezi wa masuala ya uchumi wanavyojadili hali ilivyo na kile kinachotarajiwa.

https://p.dw.com/p/4MToS