1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Vita visivyowezekana kupambana na ufisadi Tanzania

Khelef Mohammed14 Aprili 2023

Wiki hii katika maoni mbele ya meza ya duara Mohammed Khelef anawahoji wachambuzi kuhusu zimwi la ufisadi nchini Tanzania hasa baada ya kutolewa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali - CAG

https://p.dw.com/p/4Q36c