1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni : Ushindi wa Hichilema na funzo kwa mataifa ya Afrika

3 Septemba 2021

Je,Hakainde Hichilema, mwanasiasa aliyejipigia upatu kuwa na ramani ya kuitoa Zambia kwenye mkwamo, anao uwezo wa kufanya hivyo, ataafanya nini kutimiza matumaini ya umma kwa utawala mpya mjini Lusaka, kipi kitakuwa kizingiti kikubwa kwenye kufanya mageuzi na ushindi wake umetuma ujumbe gani kwa mara nyingine kwenye kanda ya Mashariki na kusini mwa Afrika ? Rashid Chilumba kwenye meza ya duara.

https://p.dw.com/p/3zsxl