1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Tanzania na nyongeza ya tozo kwenye miamala ya simu

23 Julai 2021

Kipindi cha Maoni kimewaleta mbele ya Meza ya Duara Watanzania kujadili suala la nyongeza ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu ambayo imezusha malalamiko makubwa kutoka kwa umma.

https://p.dw.com/p/3xvTr