1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Tanzania na Katiba mpya

Khelef Mohammed12 Mei 2023

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaingia tena kwenye mchakato wa kuandika katiba yake. Je, mchakato huu utaanzia pale ulipoishia 2014 ama utaanza upya? Mohammed Khelef anaongoza mjadala kuhusu hili kwenye Maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/4RGtK