1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Soko la pamoja la Hisa la Uganda, Rwanda na Tanzania

Josephat Charo Nyiro/MMT2 Oktoba 2020

Mataifa matatu ya Afrika Mashariki,Uganda, Rwanda na Tanzania yamedhamiria kufungua Soko la pamoja la Hisa na Mitaji. Josephat Charo amewakaribisha kutoa Maoni mbele ya meza ya duara wataalamu wa masuala ya masoko ya mitaji kuhusu matarajio na manufaa ya nia hiyo ya nchi hizo tatu.

https://p.dw.com/p/3jKg3