1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Siku ya Wanawake Duniani

4 Machi 2022

Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa kila Machi 8 na kaulimbiu ya mwaka huu wa 2022 inasema ''Usawa wa Jinsia Leo kwa Mendeleo ya Kesho'', ikiwa ni kutambua mchango wa wanawake na wasichana duniani kote katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ungana na Grace Kabogo katika kipindi cha Maoni akiiangazia kaulimbiu hiyo akiwa na wanaharakati wa usawa wa kijinsia na haki za wanawake.

https://p.dw.com/p/481GU