1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaPakistan

Pakistan inakwamaje kuondokana na siasa za matabaka?

Khelef Mohammed30 Oktoba 2023

Leo kwenye kipindi cha Maoni, tunaziangalia siasa za Pakistan, taifa ambalo historia yake imejaa mabonde na milima, ikishuhudia vipindi vya tawala za kijeshi na kiraia, lakini kwa kiasi kikubwa jeshi lake likiwa hadi leo na nafasi kubwa ya ushawishi wa wapi taifa lielekee kwa miaka kadhaa sasa tangu ipate uhuru wake mwaka 1947. Nahodha ni Mohammed Khelef

https://p.dw.com/p/4YBgB