1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNigeria

Maoni: Nigeria inaelekea wapi sasa baada ya kumchagua Tinubu?

3 Machi 2023

Wanigeria wameamua na wamemchagua Bola Ahmed Tinubu wa chama tawala cha All Progressives kuwa rais mpya wa nchi hiyo lakini kumekuwa na malalamiko mengi hasa kutoka kwa vyama vya upinzani wakisema wataupinga mahakamani uchaguzi huo. Je, Tinubu ataweza kuyatimiza yale mabadiliko waliyokuwa wanyataka vijana nchini humo. Saumu Mwasimba ndiye aliyekuandalia kipindi hiki.

https://p.dw.com/p/4ODjq