1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni serikali gani itakayoongoza baada ya uchaguzi Ujerumani?

Khelef Mohammed1 Oktoba 2021

Vyama vya siasa Ujerumani viko katika mazungumzo tofauti ya nani ataunda serikali mpya ya muungano. Je,matokeo hayo ya uchaguzi yalitarajiwa ? Je, Ujerumani itaongozwa na muungano upi wa serikali ? Mohammed Khelef yuko mbele ya meza ya duara na kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/419ZK