1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mzozo wa Libya wazidi kutokota

Josephat Charo
24 Julai 2020

Bunge la Misri limemsafishia njia rais Abdel Fatah al Sisi na kumpa uwezekano wa kuingilia kati kijeshi nchini Libya kwa kuidhinisha upelekeji wa majeshi nje ya nchi kupambana na makundi ya kigaidi na waasi.

https://p.dw.com/p/3fsnM