1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mkutano wa kilele wa jumuiya ya kujihami ya NATO

Josephat Charo
15 Julai 2023

Huku jumuiya ya kujihami ya NATO ikirejea katika mbinu za enzi ya vita baridi, Urusi inasema Tuko tayari kuchukua hatua. Ni baada ya kukamilika kwa mkutano wa kilele wa siku mbili wa NATO uliofanyika Julai 11 na 12 mjini Vilnius nchini Lithuania. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kuhusu matokeo ya mkutano wa Vilnius.

https://p.dw.com/p/4TxGt