1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni mbele ya meza ya Duara:Miaka 45 ya CCM nchini Tanzania

Josephat Charo4 Februari 2022

Wiki hii chama tawala nchini Tanzania CCM kimeadhimisha miaka 45. Kwenye makala hii ya maoni, Josephat Charo na wageni wake wamezungumzia mafanikio, changamoto na mwelekeo wa chama hicho.

https://p.dw.com/p/46Y3q