1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni Mbele ya Meza ya Duara: Zanzibar baada ya Machi 20

Mohammed Khelef3 Aprili 2016

Zanzibar imeingia kwenye hali mpya ya kisiasa baada ya uchaguzi wa Machi 20 uliopelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kusalia pekee madarakani na kuondoka kwa mshirika mdogo kwenye iliyokuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa, Chama cha Wananchi (CUF). Je, Zanzibar inaelekea wapi? Nini mustakbali wa visiwa hivyo na ipi dhima ya kila upande kwenye aidha kuumba ama kuumbua mustakbali huo?

https://p.dw.com/p/1IOay