1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Kujiuzulu kwa Spika Ndugai wa Tanzania

7 Januari 2022

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara mara hii, Mohammed Khelef anaongoza mjadala juu ya suala la kujiuzulu kwa Spika Job Ndugai wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wazungumzaji na Said Miraji, Awadh Ali Said, Bob Chacha Wangwe na Sweetbert Nkuba.

https://p.dw.com/p/45GJT