1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiasa Uganda iko vipi kuelekea uchaguzi Mkuu?

8 Januari 2021

Tarehe 14 Januari, Waganda watashiriki uchaguzi mkuu wa urais na wabunge, ambapo rais aliyopo madarakani kwa miaka 34, Yoweri Museveni, anawania tena huku akikabiliwa na upinzani mkali wa mwanasiasa kijana, Robert Kyagulanyi. Lakini jinsi vyombo vya dola vinavyoshiriki kwenye matukio kadhaa yanayotajwa kuwakandamiza wapinzani, kuna wasiwasi kuwa uchaguzi huu utatawaliwa na mashaka makubwa.

https://p.dw.com/p/3nh15