1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MAONI: Hali nchini Uganda, kuelekea uchaguzi wa 2021

Zainab Aziz Salim-Mtullya7 Agosti 2020

Wiki hii, katika Meza ya Duara, Zainab Aziz anawaalika wachambuzi kutoa maoni yao juu ya hali nchini Uganda kuelekea uchaguzi mkuu wa hapo mwakani. Rais Museveni tayari amechaguliwa na chama chake cha NRM kugombea tena, Bobi Wine naye amezindua chama chake cha kisiasa. Kusikiliza mazungumzo yote bonyeza hapa chini.

https://p.dw.com/p/3gaZ3