1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Dakika za mwisho kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya

5 Agosti 2022

Zainab Aziz na wageni washiriki wamejadili kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya utakaofanyika Agosti 9, 2022. Tofauti na chaguzi zilizopita, safari hii Rais anayeondoka madarakani Uhuru Kenyatta anamuunga mkono mpinzani wake wa muda mrefu Raila Odinga badala ya naibu wake, William Ruto.

https://p.dw.com/p/4FAEj

Je, ni kwa nini? Karibu katika Maoni, mbele ya Meza ya Duara uwasikilize wachambuzi wakijadili kuhusu hilo pamoja na mambo mengine mengi kuhusu yaliyojiri katika kampeni za uchaguzi huo mkuu ambao utakuwa wa tatu kufanyika tangu kuanza kutumika kwa katiba iliyopitishwa mwaka 2010.