1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Wizi wa kura na mapinduzi ya kijeshi barani Afrika

Khelef Mohammed1 Septemba 2023

Kipi bora kati ya kura inayoibiwa na watawala wasiotaka kuondoka madarakani na jeshi kuwapinduwa watawala waliopo madarakani, hata ikiwa ni kwa njia hiyo ya kura? Huenda likawa ni suali rahisi kujibika ama gumu kusawazishika akilini mwetu, kulingana na wapi umesimama kwenye fasili ya hiki kiitwacho demokrasia. Lakini bara la Afrika linaonekana kidogo kidogo kusaka majibu yake yenyewe.

https://p.dw.com/p/4Vqln