1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Athari za Maandamano ya kupinga mfumuko wa bei Kenya

21 Julai 2023

Kiongozi wa kambi ya upinzani ya Azimio, Raila Odinga amesema maandamano ya kupinga mfumuko wa bei nchini Kenya yataendelea licha ya pande kadhaa kujaribu kuitaka kambi yake ya Azimio iache kufanya maandamano hayo. Je, harakati hizo dhidi ya mfumuko wa bei zinaelekea wapi? Mwenyekiti Zainab Aziz anazungumza na watalaamu kwenye Maoni Meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/4UESQ