1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Athari ya ziara ya Biden eneo la Mashariki ya Kati

22 Julai 2022

Zainab Aziz na wageni washiriki wamejadili juu ya ziara ya Rais wa Marekani Joe Biden nchini Israel, Ukingo wa Magharibi na Saudi Arabia. Je, ziara hiyo ilikuwa na mafanikio ya kiasi gani? Karibu uwasikilie wataalamu wakijadili juu ya ziara hiyo na mengine kwenye meza ya duara wiki hii.

https://p.dw.com/p/4EVnN