1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Angola baada ya uchaguzi

Josephat Charo
1 Septemba 2022

Chama kikuu cha upinzani nchini Angola National Union for the Total Independence of Angola, UNITA, kimewasilisha malalamiko ya kisheria kupinga matokeo rasmi ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi yaliyokipa ushindi chama tawala cha Peoples Movement for the Liberation of Angola, MPLA. Jiunge na Josephat Charo katika Maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/4GKVy