1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonesho ya utamaduni Zanzibar

20 Aprili 2022

Katika makala ya Utamaduni na Sanaa Salma Said anatupia jicho maonesho ya sanaa yaliyoandaliwa na wanawake pekee ya kuonesha vitu vya utamaduni na asili ambavyo vikiachiwa vinaweza kutoweka iwapo juhudi za makusudi hazitachukuliwa kudumisha utamaduni huo.

https://p.dw.com/p/4AAAv