1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Manufaa ya masomo ya ufundi katika jamii

VERONICA NATALIS /MMT19 Februari 2021

Kwenye makala ya Vijana Tugutuke, tunaangazia kuhusu masomo ya ufundi na teknolojia. Je vijana wanazungumziaje kuhusu masomo ya kiufundi na wanatumia vipi masomo hayo katika kutatua matatizo yanayokumba jamii? Nahodha wa leo ni Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/3pa9g