1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makundi ya wavamizi yazusha hofu jimbo la Tanganyika, DRC

Zuberi Ally5 Aprili 2023

Katika jimbo la Tanganyika huko jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, yamejitokeza makundi kadhaa na kusababisha hali ya kuzuka matukio ya uvamizi, miongoni mwa raia. Uvamizi wa kila mara wa wasafiri katika njia ya taifa namba Tano inayotoka Kalemie kwenda Kivu kusini ni jambo linalowapa raia wasiwasi wa kusafiri.

https://p.dw.com/p/4PkNu