1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makundi ya uhalifu kutoka Nigeria yajipenyeza Ujerumani

Harrison Kalunga Mwilima10 Januari 2020

Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inajikita kuhusu shughuli za makundi ya kihalifu kutoka Nigeria nchini Ujerumani pamoja na mikakati iliyopo kuyapiga vita makundi hayo. Makala hii imeandaliwa na Jan-Philipp Scholz na Andrea Lueg na msimulizi wako ni mimi Harrison Mwilima wa DW Berlin.

https://p.dw.com/p/3VzVY