1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makumbusho ya historia ya Muafrika, Arusha Tanzania

20 Januari 2022

Ni miongoni mwa makumbusho yanayotajwa kuwa makubwa zaidi barani Afrika. Ni makumbusho yanayohifadhi historia ya Mwafrika pamoja na utamaduni wa jamii mbalimbali barani humo. Veronica Natalis anakujuza mengi zaidi kwenye Kurunzi.

https://p.dw.com/p/45qJc