1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Wanawake na Maendeleo

Neema Misheki17 Juni 2022

Leo tunamuangazia mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Living Together Autistic Foundation (Li-Tafo) nchini Tanzania ambayo inajihusisha na kuwasaidia watu wenye usonji walio na kipato cha chini. Mhandisi Shangwe Mgaya alianzisha taasisi hiyo baada ya kupata mtoto mwenye usonji na hata baadaye kupewa talaka na mumewe. Mtayarishaji wa Makala hii ni Neema Misheki.

https://p.dw.com/p/4CqpP