1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

-

SAUMU YUSUF30 Agosti 2024

Msanii mzaliwa wa Uganda wa miondoko ya Ragga aliyewahi kuvuma wakati akifanyia kazi zake nchini Tanzania miaka ya tisini,sasa ajindaa kurudi kimuziki akiwa Finnland,baada ya kukaa kimya muda mrefu akisumbuliwa na msongo wa mawazo. Amepiga stori na Saumu Mwasimba ndani ya Karibuni akisimulia ubaguzi katika soko la muziki Ulaya.

https://p.dw.com/p/4k7JL