1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yamulikwa kufuatia maandamano makubwa

28 Juni 2024

Kenya yatikiswa na maandamano makubwa yaliyopangwa na vijana nchi nzima kuupinga muswaada wa fedha wa mwaka 2024 bunge lilivamiwa na kuharibiwa huku watu kadhaa wakiuwawa na jeshi kupelekwa kuyadhibiti maandamano. Huko Tanzania nako wafanyabiashara maeneo mbali mbali waligoma kupinga kero za serikali ukusanyaji mapato.Na wanajeshi wa Monusco waondoka Kivu Kusini. Jiunge na Saumu Mwasimba:

https://p.dw.com/p/4heLP