1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

15 Machi 2024

Marais wa Tanzania, Uganda na Kenya wajadili mustakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mkutano wao maalum. Kenya yatikiswa na mgomo wa Madaktari na nchini Senegal shangwe ilitawala mjini Dakar siku ya Alhamisi baada ya kuachiliwa huru viongozi wakuu wa Upinzani Osmane Sonko na mgombea urais kutoka kambi yake Bassirou Diomaye Faye. Jiunge na Saumu Mwasimba katika makala ya Afrika wiki hii.

https://p.dw.com/p/4dghk