1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

5 Januari 2024

Kenya na Sudan zaingia kwenye msuguano baada ya rais William Ruto kumkaribisha Ikulu kamanda wa kundi la wanamgambo la RSF.Somalia na Ethiopia nazo zatupiana maneno makali baada ya utawala wa Somaliland kuingia kwenye mkataba wa maelewano unaoipa nafasi Ethiopia kutumia bandari ya BerBer kwenye bahari ya Sharm katika ardhi ya Somalia.Na serikali ya Kongo yawaonya wapinzani dhidi ya kuandamana.

https://p.dw.com/p/4audN