1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika wiki hii

Sylvia Mwehozi1 Mei 2020

Kampeni za uchaguzi wa urais, wabunge na wa madiwani zilizinduliwa rasmi nchini Burundi na nchini Libya mbabe wa kivita Khalifa Haftar atangaza kusitisha mapigano katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, na Chad imeondoa adhabu ya kifo kwa wahalifu wa ugaidi.

https://p.dw.com/p/3bf6E