1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Majonzi Kenya na Tanzania kufuatia vifo vya wanasiasa mahiri

Daniel Gakuba19 Februari 2021

Kwenye Afrika Wiki hii utasikia mengi ikiwa ni pamoja na: Tanzania ilikumbwa na misiba ya watu kadhaa mashuhuri, akiwemo aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad aliyeaga dunia siku ya Jumatano, huko Kenya pia mwanasiasa mkongwe Nyachae alizikwa, nchini Rwanda mahakama ilianza kusikiliza kesi ya shujaa wa filamu ya Hotel Rwanda Paul Rusesabagina.

https://p.dw.com/p/3pc7C