JamiiMajirani wasaidiana kupitia App ya Nextdoor To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiYusra Abdallah Buwayhid07.04.20207 Aprili 2020Sema Uvume inaangazia App ya Nextdoor inayowaruhusu majirani kusaidiana wakati wakiwa wamefungika majumbani katika kipindi hiki cha virusi vya corona. Na nyingine ni App ya Volkswagen iitwayo Move inayokodisha magari yanayotumia umeme huko Rwanda.https://p.dw.com/p/3aaiGMatangazo