1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya Vijijini

Veronica Natalis
25 Mei 2023

Katika video hii utaona ni jinsi gani maisha ya watu wa vijijini yanatofautiana na maisha ya watu wa mjini. Mwandishi wa DW Veronica Natalis amewatembelea wakazi wa kijiji cha Maswea wilaya ya Ikungi mkoani Singida nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Rnsy