1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahusiano kati ya Tanzania na Marekani yajadiliwa

Bruce Alakonya29 Machi 2023

Makamu wa Rais wa Marekanil Kamala Harris anaanza ziara ya siku tatu nchini Tanzania. Kamala anatarajiwa kuwasili nchini humo saa nne usiku na kulakiwa na viongozi wa serikali. Saidi Msonga, Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na siasa za kimataifa akiwa mjini Dar es Salaam alizungumza na Bruce Amani wa DW juu ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania.

https://p.dw.com/p/4PQjm