1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Uamuzi wa ICJ unamaanisha nini?

Saumu Njama Athuman26 Januari 2024

Baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutowa hukumu yake kwa kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel juu ya mashambulizi kwenye Ukanda wa Gaza, mchambuzi wetu wa kimataifa, Ahmed Rajab, anafafanuwa maana na umuhimu wa hukumu hiyo.

https://p.dw.com/p/4bjKX