1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan

Mahojiano: Nini hatma ya Sudan baada ya mapigano?

17 Aprili 2023

Mkuu wa majeshi ya Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan aliegeuka sura ya utawala usiokoma wa kijeshi nchini Sudan kwa mapinduzi yake ya 2021, hivi sasa yuko vitani na naibu wake, Moammaed Hamdan Dagalo, kamanda wa kikosi chenye nguvu cha wanamgambo, RSF, alieshirikiana naye kunyakua madaraka. Nini hatma ya taifa hilo? Saumu Njama anajadili swali hilo na mengine na Ahmed Rajab kutoka London.

https://p.dw.com/p/4QCIf