1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano kuhusu nusu fainali za EURO 2020

Josephat Charo
5 Julai 2021

Ni timu ipi kati ya Italia, Uhispania, England na Denmark itakayotinga fainali ya mashindano ya EURO 2020? Jiunge na Josephat Charo na Bruce Amani wakizungumzia michuano ya nusu fainali Wembley.

https://p.dw.com/p/3w3sr