1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Juhudi za uokozi mafuriko kaskazini mwa Tanzania

6 Desemba 2023

Jitihada za uokoaji zinaendelea katika eneo la Katesh kaskazini mwa Tanzania, ambako mafuriko na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 60, huku kikosi cha uokoaji kikisema huenda idadi huenda ikaongezeka. Deo Kaji Makomba anazungumza akiwa kwenye eneo la tukio.

https://p.dw.com/p/4Zq0N