1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Je, Afrika inajitosheleza kwa chakula?

16 Oktoba 2023

Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Chakula Duniani kwa kaulimbiu ya "Maji ni maisha, maji ni chakula." Siku hii inaadhimishwa wakati kukitolewa miito ya kimataifa ya kuchukua hatua za kuhakikisha upatikanaji wa chakula na maji. Suali ni: je, hali ya chakula iko vipi barani Afrika? Mkurugenzi wa Taasisi ya Malembo Farm, Lucas Malembo, anazungumzia siku hii akiwa jijini Dar es Salaam, Tanzania.

https://p.dw.com/p/4XbEY