1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Hasira za Wajerumani kwa AfD zinamaanisha nini?

22 Januari 2024

Ujerumani imekuwa ikishuhudia maandamano yaliyowaleta pamoja maelfu ya watu kupinga siasa kali za chuki dhidi ya wageni za chama cha AfD, baada ya kufichuliwa kuwa wanachama wa chama hicho walishiriki mkutano na viongozi wa makundi ya kizalendo ya siasa kali kujadili mipango ya kuwafukuza wageni Ujerumani. Abdalla Salum Mzee anachambua hasira hizo.

https://p.dw.com/p/4bYSK